Zuchu – Nani (Remix) Lyrics

Zuchu Nani Remix Lyrics (feat. Innoss’B)

Innos
Chu chu chu chu
Kebo na bise elinge banda
Esie bandi
Kebo na mbiso bayuma
Bakota kate
Esie bakoti haaa
Cababwe eeeeh cababwe na katya
Bulletin soda eeeh soda mundu
Kyakaka
Nakeba dajuma naguzi babeti boteka
Nakena mabono na money
Babeti boteka

Bomba bomba bomba sukalu
Bomba bomba eeeh bomba
Butamu
Mama lobagi yekolako lukabwona
Eeeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Maftaaa taa mafta taa mafta taaa
Yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa
Mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii
Amina, Amina na Mwajuma
Wanaringa hawa kima
kumbe wanauza… (usiseme hivyo)

Kilode kilode kilodee
Watoto wadogo wanataka nipotee
Haa! labda nifukiwe chini wala wasiwaongopee
Hee! shindo langu mimi mjikusanye wote
Haya sema shkamoo dada (Shkamoo dada)
Shkamoo kaka (Shkamoo kaka)
Mniamkie shkamoo mama (Shkamoo mama)
Shkamoo baba (Shkamoo baba)
Alulue alulueee (Alulue alulueee)

Ukiona hachezi mzabue (Tumzabue tumzabue)
Sema alulue alulueee (Alulue alulueee)
Haa! Kama mtu hachezi Tumtoee(Tumtoe tumtoe)
Sema alulue alulue alulue
Kama mtu hachezi tumtoe, Tumtoe, Tumtoe
Eeh nani anaweza kulicheza sagarumba
Mimi ninaweza kulicheza sagarumba
Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba
Nasema mimi ninaweza kulicheza Sagarumba
Aah twende

Maftaaa taa mafta taa mafta taaa (Yana ninii)
Yamemwagika yamemwagika yamemwagikaaa (Eti mpaka wapi)
Mpaka chini mpaka chini mpaka chiniii (Mamaaa)
Mpaka chini, mpaka chini, mpaka chini
Maamaa!

Zuchu Nani Remix Lyrics English Translation

Innos
Chu chu chu chu
The cable and the bus went to the booth
Esie bandi
Cable and adhesive tape
Cut into pieces
Esie bakoti haaa
Cababwe eeeeh cababwe and Katya
Bulletin soda eeeh soda sickle
I’m sorry
Nakeba dajuma naguze babeti boteka
I have problems with money
Babette boteka

Pipe pipe pipe pipe
Pipe pipe eeeh pipe
Butam
Mama lobagi yekoloka lukabwona
Hey, who can play sagarumba
I can play sagarumba
I ask who can play sagarumba
I say I can play sagarumba
Maftaa taa mafta taa mafta taa
They are spilled, they are spilled, they are covered
To the bottom to the bottom to the bottomiii
Amen, Amen and Mwajuma
They are like this
but they sell… (don’t say that)

Kilode kilodee kilodee
Little kids want me to get lost
Oh! maybe I should be covered under and they should not lie to them
Hey! I will gather you all
Say hello sister (Shkamoo sister)
Shkamoo brother (Shkamoo brother)
Wake me up shkamoo mama (Shkamoo mama)
Shkamoo baba (Shkamoo baba)
Alulue alulueee (Alulue alulueee)

If you see he is not playing mzabue (Tumzabue tumzabue)
Say alulue alulueee (Alulue alulueee)
Oh! If someone doesn’t play, Tumtoee (Tumtoe, Tumtoe)
Tell him to cry, let him cry, let him cry
If someone doesn’t play, let’s get him out, get him out, get him out
Eeh, who can play sagarumba
I can play sagarumba
I ask who can play sagarumba
I say I can play Sagarumba
Aah let’s go

Maftaa taa mafta taa mafta taa (Yana niii)
They have been spilled, they have been spilled, they have been spilled (Supposedly how far)
To the bottom to the bottom to the bottomiii (Mamaaa)
All the way down, all the way down, all the way down
Maamaa!