Zinoleesky, Harmonize – Kilofeshe [Remix Lyrics]

Zinoleesky, Harmonize – Kilofeshe [Remix Lyrics]

Remix Lyrics Zinoleesky, Harmonize – Kilofeshe

Yaw yaw
Hahahaa
Jeshiii

Yeah
Raha ya kunywa pombe zishuke
Hapo kwa chini
Na usiombe ushike baby uikute
ipo mwezini
Wewe dada unapofungua mlango wa mbele
Hakikisha wa nyuma umeufunga
hainaga macho haionagi mbele
unaweza uikuta igunga ukaikuta igunga huko
Usiseme ivyooo
yani imeteleza hadi igunga huko
ndo nakuambiaa
ukaikuta igunga hukoo
ooooh la lalaa eeh

Asa twende ikwepeshe ikwepe
Ikwepeshe ikwepe twende ikwepeshe
Ikwepe ikwepeshe fanya kama unabana miguu
Haya twende ikwepeshe ikwepe
Ikwepeshe isijefika kunduchi juu
Twende sasa ikwepeshe ikwepe ikwepeshe
(Oooh laah ooh lalaa)

Yeah, yeah-yeah
Oh-oh-oh
We in the club all night
Many things I don try
Omo boy don high
Gas me up no time, no time
Oh wow, I’m trendin’ and I don’t know why, oh why
Oni so’kuso
Talo sope omo yen o m’orin ko?
Oni so’kuso
If you get machete, moni ibon
But k’emi sha ti lowo
K’emi ba le na’wo
I wan get, I don’t know
Life is Yolo
You don’t know tomorrow
Oh-oh-oh
Extraordinary things I’m doing
Ordinary things no fit move me again
Extraordinary things I’m doing
Ordinary things no fit move me again, again no-no

Wewe dada unapofungua mlango wa mbele
Hakikisha wa nyuma umeufunga
hainaga macho haionagi mbele
unaweza uikuta igunga ukaikuta igunga huko
(Usiseme ivyooo
yani imeteleza hadi igunga huko
(ndo nakuambiaa
ukaikuta igunga hukoo
(ooooh la lalaa eeh

Asa twende ikwepeshe ikwepe
Ikwepeshe ikwepe twende ikwepeshe
Ikwepe ikwepeshe fanya kama unabana miguu
Haya twende ikwepeshe ikwepe
Ikwepeshe isijefika kunduchi juu
Twende sasa ikwepeshe ikwepe ikwepeshe
Oooh laah ooh lalaa