Silaha Lyrics By Ukweli & KASHA
Niwe vipi
Nishatubu, nishasulubiwa Imebidi nihesabu subira Imezidi, najitolea najikwaa
Oh niwe vipi
Niwe mtupu, niwe bila Imebidi niwe mkavu kila kila Imezidi, najitolea najikwaa
Hasira hasara
Niwe mpole
Niwe yaani kama mi nina mabawa Astafirughla
Ya ni’ na usipopigana Utajipata we nd’o una jeraha
Hasira hasara Hasira ni silaha
Tiki tiki bomu Mawingu radi na homu Na sina hata ngao Maisha ina maovu Mishale tu na makovu Ugomvi ndo makao
Kusema ukweli Amani ilienda na meli
Hasira hasara
Niwe mpole,
Niwe yaani kama mi nina mabawa Astafirughla
Ya ni’ na usipopigana Utajipata we nd’o una jeraha
Hasira hasara Hasira ni silaha
Leave a Reply