Khaligraph Jones – Blue Ticks Lyrics

Khaligraph Jones – Blue Ticks Lyrics (feat. Femi One)

Damn Alex, you spazzin’ out
Luigi got the sauce

Phone ina-ring na si do sh!t (Do sh!t, Do sh!t)
Probably coz I’m on my new sh!t
Calls za ufala ni useless
Nime-block hizo number ni useless
Messo nawakulisha blue ticks
Blue ticks (Blue ticks)
Blue ticks Blue ticks
Blue ticks Blue ticks
Blue ticks Blue ticks
Phone inalia si do sh!t
Kwa messo nawakulisha blue ticks

Nawakulisha blue ticks, niwajulisha ju ya whos sick
And who’s this?
Ni baba ka-mum Omollo Jatelo so move b!tch
[] iko juu iko boosted (Boosted)
Boosted, compe for now imekufdead
Femi ebu washa ki kushde
Combi hatari hii kitu ni ruthless (Ruthless)

Ruthless, niko kwa midomo zao ka toothpaste
Manze anabaki ako toothless
Professor anarudisha musde (Musde)
Musde, we hutaka kujua mahali mi hu-stay
Niko pande za Kayole ma-Tuesday
Ma-rapper wamechoka wamebeba ma-suitcase (Suitcase)
Wamechoka na mimi vile mi huspit

Phone ina-ring na si do sh!t (Do sh!t, Do sh!t)
Probably coz I’m on my new sh!t
Calls za ufala ni useless
Nime-block hizo number ni useless
Messo nawakulisha blue ticks
Blue ticks (Blue ticks)
Blue ticks Blue ticks
Blue ticks Blue ticks
Blue ticks Blue ticks
Phone inalia si do sh!t
Kwa messo nawakulisha blue ticks

Mafisi wanatamani mchuzi (Mchuzi)
Nikisimama huyu msichana ni m-juicy (Juicy)
Kucheki ni sare lakini kijana usiguse (Guse)
Ukiguza utafanya mi nibadilike vi-st*pid
Upigwe, ukufe (Kwenda)
Nilihama ghetto ka Mbusii, hater akaleta matusi
Hater akakanyagwa makuti makofi za Lucy akanyanganywa musi

RELATED POST:   Khaligraph Jones – Mbona? Lyrics

Ujuaji haishindi ujuzi (No), hii ujuzi haikuanza juzi
Juzi waliuliza whos this (Uno), siku hizi kwa messo ni blue ticks
Yacht party tuko Dubai, kwa kibeti nimejaza Muigai
Expressway my new ride, ficha sura watajua new guy
Origi mbichi ndio si hu-buy, ka ni fishy sisi tuna-swim by
Khali Femi kiti ni ya Muigai, ticky tunawakulisha blue type
You guy

Phone ina-ring na si do sh!t (Do sh!t, Do sh!t)
Probably coz I’m in my new sh!t
Calls za ufala ni useless
Nime-block hizo number ni useless
Messo nawakulisha blue ticks
Blue ticks (Blue ticks)
Blue ticks Blue ticks
Blue ticks Blue ticks
Blue ticks Blue ticks
Phone inalia si do sh!t
Kwa messo nawakulisha blue ticks

Phone ina-ring na si do sh!t (Do sh!t, Do sh!t)
Probably coz I’m on my new sh!t
Calls za ufala ni useless
Nime-block hizo number ni useless
Messo nawakulisha blue ticks
Blue ticks (Blue ticks)
Blue ticks Blue ticks
Blue ticks Blue ticks
Blue ticks Blue ticks
Phone inalia si do sh!t
Kwa messo nawakulisha blue ticks