Diamond Platnumz – Ramadhan Lyrics

Ramadhan Lyrics By Diamond Platnumz (feat. Ricardo Momo)

Ramadhani Ramadhani Ramadhani
Ramadhani Ramadhani Ramadhani

Faraja faraja mwezi umefika tena
Tulomngoja kaja tuzichume neema
Mola nijalie na mi hisani (Amiin)
Na sadaka nizijali (Amiini)
Nipe rizki za halali (Amiin)
Karimaaaaa
Niwezeshe pia futari (Amiin)
Kwa wenzangu wasio na hali
Oooh yarabi tafadhali (Amiin)
Karimaaaaa
Ooh mi mwanadam sijakamilika na madhaifu
Na pia unafahamu
Tunaishi kwenye dunia ya majaribu Allah
Nilindie iman Mola imani mola
Funga yangu iwe salama
Funga yangu iwe salama

Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan

Yaaah aaaah
Yaaaaaaah aaaaaaaaah
Alhamdulillah Alhamdulillah
Umenipa pumzi
Nimeuona tenaa
Wallah furaha wallah furaha
Nipo tayari mvuvi kuvua neema
Yarabi nafsi yangu
Roho yangu ijaze imani
Nirindie funga yangu ibada yangu
Na mingi mitihani
Mwezi ulo mwema uja kwetu waumini
Funga ni imara afya kwetu mwilini
Ni vyema kutolala kumi la mwisho
Kesha msikitini
Tupate na maghfira kwa mola manani
Nilindie iman mola iman mola
Imanii funga yangu iwe salama

Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan

Enyi waja wenzangu tulojidhurumu nafsi zetu
Tusikate tamaa na rehma za mwenyezi Mungu
Hakika mwenyezi mungu
Usamehe dhambi zote
Yeye ni mwenye kusamehe
Na mwenye kurehemu
Aswahumu lii
Funga ni yake yeye
Waanaajizib
Na yeye ndie anaelipa

Ramadhan Lyrics By Diamond Platnumz English Translation

Ramadan Ramadan Ramadan
Ramadan Ramadan Ramadan

Comfort comfort the moon has come again
Let’s wait and see
Lord, grant me my charity (Amiin)
And the offerings I care for (Believe)
Give me legitimate sustenance (Amiin)
Karimaaaaa
Enable me also futari (Amiin)
To my non-state colleagues
Oooh yarabi please (Amiin)
Karimaaaaa
Ooh mi man I’m not perfect with flaws
And you also know
We live in a world of temptation Allah
I wait for faith Lord faith lord
Keep my locks safe
Keep my locks safe

RELATED POST:   Diamond Platnumz – Chanda Chema Lyrics

Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan

Yaaah aaaah
Yaaaaaaah aaaaaaaaah
Alhamdulillah Alhamdulillah
You gave me a breath
I have seen it again
Wallah happy wallah happy
I am ready to go fishing
Rabbi my soul
My soul is full of faith
Watch me close my worship
And many exams
That good month comes to us believers
Fasting is healthy for our body
It is best not to sleep the last ten
Watch in the mosque
May we have forgiveness for our sins
Nilindie iman mola iman mola
Make sure my locks are secure

Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan

O my fellow servants, we do not harm ourselves
Let us not despair of the mercy of Allah
Surely Allah
Forgive all sins
He is forgiving
And the Merciful
Aswahumu lii
The lock is his
Waanaajizib
And he is the one who pays