Bien – Stamina Lyrics ft. Aaron Rimbui

Bien - Stamina Lyrics ft. Aaron Rimbui
Bien – Stamina Lyrics ft. Aaron Rimbui

 

Stamina Lyrics By Bien ft. Aaron Rimbui

Kesi ilianza jana uliponipigia simu
Karibu nitokwe na wazimu
Haki unaniacha
Nilitamani ninywe sumu
Nilidhani shida zinakuanga na misimu
Lakini zanifuata kila siku
Haki nawasha

I never thought i’m losing you
Aaaaah Eeeeeehh
Hii kitu haitaki hasira
Aaaaah Eeeeeehh
Hasira inaletanga hasara
Aaaaah Eeeeeehh
Hii kitu haitaki hasira

Aaaaah Eeeeeehh
Vunja mifupa ka unajua bado stamina iko
Vunja mifupa ka unajua bado stamina Iko
Vunja mifupa ka unajua bado stamina iko
Vunja mifupa ka unajua bado stamina Iko
Mwanaume si mwanaume bila deni
Nairobi si Nairobi bila kodi

Na kuishi kwingi ndio kuona mengi
Wacha ni kuelimishe
Coz I know you wonder why
The rich also cry
Money can’t buy no happiness inside
So don’t you live a lie
You got to live to be alive

Aaaaah Eeeeeehh
Haitaki hasira
Aaaaah Eeeeeehh
Hasira inaletanga hasara
Aaaaah Eeeeeehh
Haitaki hasira

Aaaaah Eeeeeehh
Vunja mifupa ka unajua bado stamina iko
Vunja mifupa ka unajua bado stamina Iko
Aaaaah Eeeeeehh
Hii kitu haitaki hasira
Aaaaah Eeeeeehh
Hasira inaletanga hasara

Aaaaah Eeeeeehh
Muziki haitaki hasira
Aaaaah Eeeeeehh
Na biashara haitaki hasira
Aaaaah Eeeeeehh
Mapenzi haitaki hasira
Vunja mifupa ka unajua bado stamina iko
Vunja mifupa ka unajua bado stamina Iko

 

Stamina Lyrics