Bensoul – Napepea Lyrics

Bensoul Napepea Lyrics

Ouuuu
Aki mapenzi ya pwani utawezana wewe
Sudah
Mombasani kongowea
Nilipatanana na leah
Vitu tamu akanipea
Vitu mi sijazoea
Biryani ya top layer
Avocado ongezea
Moyoni naogelea (aaaa)
Na kwanza tukipendana

Napepea
Kwanza zetu zikiguzana mama
Sijazoea
Ma mama
Na napepea
Tukipendana
Sijazoea
Na na na
Na napepea
Tukiguzana
Sijazoea

Umenipandisha mpaka wingu la tisa
Pale umeshika vile umeshika mama(aa aa)
Umeshikanisha sita na tisa baby
Basi niambie ukifika tufike pamoja my love
Na na na na na na
Na napepea
Tukipendana
Sijazoea
Na na na
Na napepea
Tukiguzana
Sijazoea
Na na na
Na napepea

Na na na
Sijazoea
(na na na na)
Na na na na na
Na na na na na
Na
Napepea
Tukipendana mama
Sijazoea
Na na na na na