Bensoul & King Kaka – Machungu Lyrics

Machungu Lyrics By Bensoul & King Kaka

You deserve somebody new
You saw it coming and you had the proof
Ulionanga za ndani but you never knew
Nasemanga ati uko misunderstood
Every night on a different mood
I don’t know what you like, don’t know what you do
Nimekupea time, nimerorder food
I give you the wood so good
Mastyle za kizungu
Najua kucheza na rungu
Nimekukulia njugu
But niko na machungu
When I see you with that other guy
Ulisema ye’ ni ndugu
Now, I know it’s a big lie

Juu mabestie
Wanasemanga wao ni mabestie
Tena wanashikana chini ya blanketi
Chini ya neti
Now, mabestie
Wanasemanga wao ni mabstie
Tena wanashikana chini ya blanketi
Chini ya neti

Niko na machungu
Niko na machungu na we’
Niko na machungu
Niko na machungu na we’
Chini ya neti
Kuna mechi
Ya mabestie
Sielewi
Niko na machungu (King Kaka)
Niko na machungu na we’ (Uh)

Ulinishow ye’ ni cuzo, kumbe ana dishi
No kakitu, yake Toyota na wish
Kama sina ningesaka, we’ useme lini
Ningekuamini, ‘ata useme nini
Ati bratha budake ni sista ya nyanyangu
Na cuzo yake, ni rela ya brathangu
Yaani unacheat na makalulu
Habari naamini ni ya Rashid na Lulu
Kila siku, umetoka gym na umechoka
Lakini haupunguzi weight, nikikuuliza nashuku
Mahali umetoka, unafura I can’t relate
Mimi na njugu zangu inabidi nimenyonga
Kilimani mums, washajua wanabonga
Niko na Nana saa hii tunamatch manjumu
Lakini nikikuona, nashikwa machungu

Mabestie
Wanasemanga wao ni mabestie
Tena wanashikana chini ya blanketi
Chini ya neti
Now, mabestie
Wanasemanga wao ni mabstie
Tena wanashikana chini ya blanketi
Chini ya neti

Niko na machungu
Niko na machungu na we’
Niko na machungu
Niko na machungu na we’
Chini ya neti
Kuna mechi
Ya mabestie
Sielewi
Niko na machungu
Niko na machungu na we’