Bensoul – Kibaki Atabaki Lyrics

[Bensoul – Kibaki Atabaki Lyrics]

Mmmh
Nabaki Kibaki Yeah Aah

Tumeona wangapi?
Wanacome wanazidi
So many promises
Wengi mafisi
Kuna wananchi na wenye nchi
Kuko wenye haki, Kibaki atabaki, Ahh,
Kibaki atabaki yeah, mzee wa kazi yeah,
Mzee wa kazi yeah!
Kibaki atabaki yeah, mhh…

Nilisomeanga public, huko mashinani,
We came from nothing
Mama was always hustling
Free education, was my redemption,
Sikujua kesho, but now we run the nation, yeah,
Standing ovation, kwa baba obako,
Alikua example, Alikua mhumble
Alifanya mambo, we! Jokes kando!
Alikuanga Rambo! Pa! Pa! Pa! Pa!

Tumeona wangapi?
Wanacome wanazidi
So many promises,
But wengi mafisi,
Kuna wananchi na wenye nchi,
But kwa wenye haki, Kibaki atabaki, Ahh!
Kibaki atabaki, yeah!
mzee wa kazi yeah,
Kibaki atabaki yeah, ahh…
Mzee wa kazi yeah!

Give me my flowers,
When I’m alive,
Washa hiyo dawa,
We will survive.