Bensoul – Hatujachelewa Lyrics

Bensoul Hatujachelewa Lyrics (feat. Jux)

Heri uniumizee na ukweli
Baby uwongo
Utazamisha hii meli
Juu majirani hawalali
Mpaka Bongo wanaongea hizi stori
Nimechoma but nafeel nikosober
Jioni mimi hulala tu ki-soldier
Mawazo zako ndo zinanisonga mama
(Yeah yeah)
Marafiki wamegeuka manyoka

Hii shimo mi na wewe tutatoka
Tuko na wakati
Hatujachelewa
Penzi iko kwa hewa
Tutaanza tena
Pale tulikosana
Hatujachelewa
Penzi iko kwa hewa
Njoo turudi tena
Pale tulipendana

Hatujachelewa
Chelewa
Chelewa
Kupendana
Hatujachelewa
Chelewa
Chelewa
Kupendana
Kuna sababu

Tumetoka mbali me and you
Haiwezekani tuwachane tu
Ya nini tujipe tabuu
Alafu haina aja kupimana nguvu
Kuanikana mbele za watu
Oh baby shika simu
Hatujachelewa
Penzi iko kwa hewa
Tutaanza tena
Pale tulikosana

Hatujachelewa (Hatujachelewa)
Penzi iko kwa hewa
Njoo turudi tena
Pale tulipendana
Hatujachelewa
Chelewa
Chelewa

Kupendana
Hatujachelewa
Chelewa
Chelewa
Kupendana